The Bible Software
bible.software › Waefeso › Waefeso 5 › Waefeso 5:10

Waefeso 5:10

Jaribuni kujua yale yanayompendeza Bwana.

Biblia Takatifu

In The King James Version

Proving what is acceptable unto the Lord.

In Context

9maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu na ukweli.

11Msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.

Read all of Waefeso 5

Cross References

Romans 12:1Kwa hiyo, ndugu zangu, maadam Mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: jitoleeni nafsi zenu kwa Mungu kama tambiko iliyo hai, takatifu na yenye kupendeza. Hii ndiyo njia yenu halisi ya kumwabudu.

1 Thessalonians 5:21Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema,

1 Timothy 5:4Lakini mjane aliye na watoto au wajukuu, hao wanapaswa kujifunza kutimiza wajibu wao wa kidini kwa jamaa zao wenyewe na hivyo kuwalipa wazazi wao na wazee wao, kwani hilo ni jambo la kupendeza mbele ya Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Waefeso 5:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Waefeso 5:9Waefeso 5Waefeso 5:11 →