Waefeso 5:17
Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the Lord is.
In Context
16Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.
18Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu.
Cross References
John 7:17Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe.
Ephesians 5:15Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi: Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima.