Waefeso 5:20
Mshukuruni Mungu Baba daima kwa ajili ya yote, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Giving thanks always for all things unto God and the Father in the name of our Lord Jesus Christ;
In Context
21Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya kumcha Kristo.
Cross References
John 14:13Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
John 16:23Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.
1 Corinthians 1:4Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia ninyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.
Colossians 1:11Mungu awajalieni nguvu kwa uwezo wake mtukufu ili mweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu.