Waefeso 5:22
Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as unto the Lord.
In Context
21Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya kumcha Kristo.
Cross References
Ephesians 5:22Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.
1 Timothy 2:11Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
1 Peter 3:1Nanyi wake, jiwekeni chini ya mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini neno la Mungu, wapate kuamini kwa kuuona mwenendo wenu. Haitakuwa lazima kwenu kusema neno,