Waefeso 5:26
Alifanya hivyo, ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji,
Biblia Takatifu
In The King James Version
That he might sanctify and cleanse it with the washing of water by the word,
In Context
Cross References
John 15:3Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni.
John 17:7Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.
Acts 22:16Sasa basi, ya nini kukawia zaidi? Simama ubatizwe na uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.
1 Corinthians 6:11Baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na Mungu kwa jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu.