Waefeso 5:29
(Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
28Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe.
30maana sisi ni viungo vya mwili wake.)
Cross References
John 6:50Huu ndio mkate kutoka mbinguni; mkate ambao anayekula hatakufa.
Ephesians 5:31Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Kwa hiyo, mwanamume atawaacha baba na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”