Waefeso 5:33
Lakini yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
32Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake.
Cross References
Ephesians 5:25Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
Colossians 3:19Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.
1 Peter 3:2kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi na wa kumcha Mungu.