Waefeso 6:14
Basi, simameni imara! Ukweli uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
15na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.
Cross References
Luke 12:35“Muwe tayari! Jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Ephesians 5:9maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu na ukweli.
1 Peter 1:13Kwa hiyo, basi, muwe tayari kabisa kwa nia, na kukesha. Wekeni tumaini lenu lote katika baraka ile mtakayopewa wakati Yesu Kristo atakapoonekana!
Revelation 9:17Hivi ndivyo nilivyowaona hao farasi na wapanda farasi katika hiyo njozi: Walikuwa na ngao vifuani zilizokuwa moto mtupu, zenye rangi ya samawati na njano kama kiberiti. Vichwa vya hao farasi vilikuwa kama vya simba; na moto, moshi, na kiberiti vilikuwa vinatoka kinywani mwao.