Waefeso 6:16
Zaidi ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto ya yule Mwovu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
15na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.
17Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.
Cross References
2 Corinthians 1:24Hatutaki kutumia mabavu juu ya imani yenu; ninyi mko imara katika imani yenu. Wajibu wetu ni kufanya kazi pamoja kwa ajili ya furaha yenu.
1 Thessalonians 5:19Msimpinge Roho Mtakatifu;
Hebrews 11:24Kwa imani Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.
1 John 5:4maana kila aliye mtoto wa Mungu anaweza kuushinda ulimwengu. Hivi ndivyo tunavyoushinda ulimwengu: kwa imani yetu.