Waefeso 6:2
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,
Biblia Takatifu
In The King James Version
Honour thy father and mother; (which is the first commandment with promise;)
In Context
1Enyi watoto, watiini wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema.
3“Upate fanaka na miaka mingi duniani.”
Cross References
Matthew 15:4Mungu amesema: Waheshimu baba yako na mama yako, na Anayemkashifu baba yake au mama yake, lazima auawe.
Romans 13:7Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, ushuru; wa kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima.