bible.software › Waefeso › Waefeso 6 › Waefeso 6:7
Waefeso 6:7
Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
With good will doing service, as to the Lord, and not to men:
In Context
6Fanyeni hivyo si tu wakati wanapowatazama ili mjipendekeze kwao, bali tumikieni kwa moyo kama atakavyo Mungu kwa sababu ninyi ni watumishi wa Kristo.
8Kumbukeni kwamba kila mtu mwenye kutenda mema, awe mtumwa au mtu huru, atapokea tuzo lake kutoka kwa Bwana.
Read all of Waefeso 6
Cross References
Ephesians 6:5Enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na tetemeko; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia Kristo.
This Verse In Other Editions
Study Waefeso 6:7