Esta 1:8
Kwa amri ya mfalme kila mgeni aliruhusiwa kunywa alichotaka, kwa kuwa mfalme alitoa maagizo kwa watumishi wote wa kuhudumu mvinyo kumhudumia kila mtu kwa jinsi alivyotaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Malkia Vashti pia akawafanyia wanawake karamu katika jumba la kifalme la Mfalme Ahasuero.
Cross References
Jeremiah 35:8Tumetii kila kitu ambacho baba yetu Yonadabu mwana wa Rekabu alituamuru. Sisi wenyewe wala wake zetu wala wana wetu na binti zetu kamwe hatujanywa divai
Habakkuk 2:15“Ole wake yeye awapaye jirani zake kileo, 2 akiimimina kutoka kwenye kiriba 2 cha mvinyo mpaka wamelewa, 2 ili apate kutazama miili yao iliyo uchi. 1