bible.software › Esta › Esta 4 › Esta 4:12
Esta 4:12
Wakati Mordekai aliarifiwa maneno ya Esta,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they told to Mordecai Esther’s words.
In Context
11“Maafisa wote wa mfalme na watu wa majimbo ya ufalme wanajua kuwa mwanaume au mwanamke yeyote ambaye ataingia kumwona mfalme katika ua wa ndani bila kuitwa, mfalme ana sheria moja tu: Atauawa. Njia pekee kinyume na hili ni mfalme kumnyooshea fimbo ya dhahabu ili aishi. Lakini siku thelathini zimepita tangu nilipoitwa kwenda kwa mfalme.”
13Mordekai alirudisha jibu hili: “Usifikiri kwamba kwa sababu uko katika nyumba ya mfalme wewe pekee katika Wayahudi wote utapona.
Read all of Esta 4
This Verse In Other Editions
Study Esta 4:12