bible.software › Esta › Esta 5 › Esta 5:7
Esta 5:7
Esta akajibu, “Haja yangu na ombi langu ni hili:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then answered Esther, and said, My petition and my request is;
In Context
6Walipokuwa wakinywa mvinyo mfalme akamuuliza Esta tena, “Sasa haja yako ni nini? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.”
8Kama mfalme ameona vyema, nami nimepata kibali kwake na kama ikimpendeza mfalme kunipa ombi langu na kunitimizia haja yangu, mfalme na Hamani waje kwangu kesho katika karamu nitakayowaandalia. Kisha nitajibu swali la mfalme.” 1 Ghadhabu Ya Hamani Dhidi Ya Mordekai
Read all of Esta 5
This Verse In Other Editions
Study Esta 5:7