Exodus 1:9
Akawaambia watu wake, “Tazameni, Waisraeli wamekuwa wengi mno kwa idadi kutuliko sisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
Cross References
Numbers 22:4Wamoabu wakawaambia wazee wa Midiani, “Umati huu wa watu unakwenda kuramba kila kitu kinachotuzunguka, kama maksai arambavyo majani ya shambani.” Kwa hiyo Balaki mwana wa Sipori, ambaye alikuwa mfalme wa Moabu wakati huo,
Psalms 105:24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, 2 akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao, 1
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1
Titus 3:3Maana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu na wivu, tukichukiwa na kuchukiana sisi kwa sisi.
James 4:5Au mwadhani kwamba Andiko lasema bure kuwa huyo Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?