bible.software › Kutoka › Kutoka 10 › Kutoka 10:11
Kutoka 10:11
La hasha! Wanaume peke yao na waende, wakamwabudu Bwana, kwa kuwa hilo ndilo mmekuwa mkiomba.” Kwa hiyo Mose na Aroni wakaondolewa mbele ya Farao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Not so: go now ye that are men, and serve the LORD; for that ye did desire. And they were driven out from Pharaoh’s presence.
In Context
10Farao akasema, “ Bwana awe pamoja nanyi, kama nikiwaruhusu mwondoke pamoja na wanawake wenu na watoto wenu! Ni wazi kwamba mna makusudi mabaya.
12Basi Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako juu ya Misri ili kundi la nzige liweze kuingia juu ya nchi na kutafuna kila kitu kiotacho katika mashamba na kila kitu kilichosazwa na ile mvua ya mawe.”
Read all of Kutoka 10
Cross References
Exodus 10:28Farao akamwambia Mose, “Ondoka mbele yangu! Hakikisha kuwa hutakuja mbele yangu tena! Siku ile utakapouona uso wangu utakufa.”
Psalms 119:69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, 2 nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. 1
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 10:11