Exodus 11:2
Waambie watu wote waume kwa wake wawaombe majirani zao vitu vya fedha na vya dhahabu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 31:9Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
Exodus 3:22Kila mwanamke Mwisraeli atamwomba jirani yake Mmisri na mwanamke yeyote anayeishi nyumbani kwake ampe vyombo vya fedha, dhahabu na nguo, ambavyo mtawavika wana wenu na binti zenu. Hivyo mtawateka nyara Wamisri.”
Exodus 12:35Waisraeli wakafanya kama Mose alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na nguo.
Exodus 32:24Kwa hiyo nikawaambia, ‘Yeyote aliye na kito chochote cha dhahabu avue.’ Kisha wakanipa hiyo dhahabu, nami nikaitupa motoni, akatokea huyu ndama!”
Job 27:16Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi, 2 na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi, 1
Psalms 105:37Akawatoa Israeli katika nchi 2 wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, 1 wala hakuna hata mmoja 2 kutoka kabila zao aliyejikwaa. 1