Kutoka 11:8
Maafisa hawa wako wote watanijia, wakisujudu mbele yangu, wakisema, ‘Ondoka, wewe pamoja na watu wako wote wanaokufuata!’ Baada ya haya nitaondoka.” Kisha Mose, huku akiwa amewaka hasira, akamwacha Farao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 12:31Wakati huo Farao akawaita Mose na Aroni na kuwaambia, “Ondokeni! Tokeni kwa watu wangu, ninyi pamoja na Waisraeli! Nendeni mkamwabudu Bwana kama mlivyoomba.
Deuteronomy 29:24Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
Judges 4:10mahali ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu 10,000 wakamfuata Baraka, na Debora pia akaenda pamoja naye.
1 Kings 20:10Kisha Ben-Hadadi akatuma ujumbe mwingine kwa Ahabu, kusema “Miungu iniletee maafa, tena makubwa zaidi, ikiwa vumbi la Samaria litatosheleza konzi moja ya kila mtu ya wale wafuatanao nami.”
Psalms 6:1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, 2 wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 1
Isaiah 49:26Nitawafanya wale wanaokuonea kula nyama yao wenyewe, 2 watalewa kwa damu yao wenyewe, 2 kama vile kwa mvinyo. 1 Ndipo wanadamu wote watajua 2 ya kuwa Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo.”