Kutoka 12:42
Kwa sababu Bwana aliutenga usiku ule ili kuwatoa Waisraeli katika nchi ya Misri, katika usiku huu Waisraeli wote wanapaswa kuadhimisha kwa kukesha ili kumheshimu Bwana katika vizazi vijavyo. 1 Masharti Kwa Ajili Ya Pasaka
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya Bwana vilipokuwa vimeondoka Misri.
Cross References
Exodus 12:14“Siku hii itakuwa kumbukumbu kwenu, mtaiadhimisha kuwa sikukuu kwa Bwana, katika vizazi vyenu vyote: mtaishika kuwa amri ya kudumu.
Exodus 13:10Ni lazima uishike amri hii kwa wakati uliopangwa mwaka baada ya mwaka.
Psalms 136:11Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele. 1