Kutoka 14:10
Farao alipokaribia, Waisraeli wakainua macho yao, wakawaona Wamisri wakija nyuma yao. Wakashikwa na hofu, wakamlilia Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 13:17Farao alipowaachia watu waende, Mungu hakuwaongoza kufuata njia ipitiayo katika nchi ya Wafilisti, ingawa njia hiyo ilikuwa fupi zaidi. Kwa maana Mungu alisema, “Wakikabiliana na vita, wanaweza kubadili mawazo yao na kurudi Misri.”
Joshua 24:7Lakini wakamlilia Bwana wakitaka msaada, naye akaweka giza kati yenu na Wamisri, akaileta bahari juu yao ikawafunika. Ninyi mliona kwa macho yenu wenyewe kile nilichowatendea Wamisri. Kisha mliishi jangwani kwa muda mrefu.
Nehemiah 9:9“Uliona mateso ya baba zetu huko Misri, ukasikia kilio chao huko Bahari ya Shamu.
Psalms 53:5Hapo waliingiwa na hofu kuu, 2 ambapo hapakuwa cha kutetemesha. 1 Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; 2 uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau. 1
Psalms 107:6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, 2 naye akawaokoa kutoka taabu yao. 1
Psalms 107:19Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, 2 naye akawaokoa kutoka taabu yao. 1