Kutoka 14:18
Nao Wamisri watajua kwamba Mimi ndimi Bwana nitakapojipatia utukufu kupitia Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 7:5Nao Wamisri watajua kuwa Mimi ndimi Bwana nitakapounyoosha mkono wangu dhidi ya Misri na kuwatoa Waisraeli watoke humo.”
Exodus 10:2ili upate kuwaeleza watoto wako na wajukuu wako jinsi nilivyowatendea Wamisri kwa ukali na jinsi nilivyofanya ishara zangu miongoni mwao, nanyi mpate kujua kuwa Mimi ndimi Bwana.”
Ezekiel 28:22nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Mimi ni kinyume chako, ee Sidoni, 2 nami nitapata utukufu ndani yako. 1 Nao watajua kwamba Mimi ndimi Bwana, 2 nitakapotekeleza hukumu zangu 2 na kuonyesha utakatifu wangu ndani yake. 1