Kutoka 14:30
Siku ile Bwana akawaokoa Waisraeli kutoka mikononi mwa Wamisri, nao Waisraeli wakawaona Wamisri wamelala ufuoni mwa bahari wakiwa wamekufa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:13Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
1 Samuel 14:23Hivyo Bwana akawaokoa Waisraeli siku ile, navyo vita vilienea hadi kupita Beth-Aveni. 1 Yonathani Ala Asali
Psalms 58:10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, 2 watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 1
Psalms 91:8Utatazama tu kwa macho yako 2 na kuona adhabu ya waovu. 1
Psalms 106:8Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake, 2 ili apate kudhihirisha uweza wake mkuu. 1
Isaiah 63:9Katika taabu zao zote naye alitaabika, 2 na malaika wa uso wake akawaokoa. 1 Katika upendo wake na rehema zake aliwakomboa, 2 akawainua na kuwachukua siku zote zilizopita. 1