The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 15 › Kutoka 15:23

Kutoka 15:23

Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara + 15:23 Mara maana yake ni Chungu.)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when they came to Marah, they could not drink of the waters of Marah, for they were bitter: therefore the name of it was called Marah.

In Context

22Kisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji.

24Kwa hiyo watu wakamnungʼunikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”

Read all of Kutoka 15

Cross References

Numbers 33:8Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 15:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 15:22Kutoka 15Kutoka 15:24 →