bible.software › Kutoka › Kutoka 16 › Kutoka 16:11
Kutoka 16:11
Bwana akamwambia Mose,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses, saying,
In Context
10Aroni alipokuwa akizungumza na jumuiya yote ya Waisraeli, wakatazama kuelekea jangwani, na huko wakaona utukufu wa Bwana ukitokeza katika wingu.
12“Nimesikia manungʼuniko ya Waisraeli. Waambie, ‘Jioni mtakula nyama, na asubuhi mtashiba mikate. Ndipo mtajua ya kwamba Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ ”
Read all of Kutoka 16
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 16:11