Kutoka 16:19
Kisha Mose akawaambia, “Mtu yeyote asibakize chochote mpaka asubuhi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses said, Let no man leave of it till the morning.
In Context
Cross References
Exodus 12:10Msibakize nyama yoyote mpaka asubuhi; nazo kama zitabakia mpaka asubuhi, lazima mziteketeze kwa moto.
Exodus 23:18“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu. “Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi.