The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 16 › Kutoka 16:31

Kutoka 16:31

Watu wa Israeli wakaita ile mikate mana + 16:31 Mana maana yake ni mkate kutoka mbinguni. Ilikuwa myeupe kama mbegu za mtama na ladha yake ilikuwa kama mkate mwembamba uliotengenezwa kwa asali.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the house of Israel called the name thereof Manna: and it was like coriander seed, white; and the taste of it was like wafers made with honey.

In Context

30Kwa hiyo watu wakapumzika siku ya saba.

32Mose akasema, “Hivi ndivyo alivyoagiza Bwana: ‘Chukueni pishi ya mana na kuhifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo ili vione mikate niliyowapa mle jangwani nilipowatoa katika nchi ya Misri.’ ”

Read all of Kutoka 16

Cross References

Numbers 11:6Lakini sasa tumepoteza hamu ya chakula; hatuoni kitu kingine chochote isipokuwa hii mana!”

Song of Solomon 2:3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni 2 ndivyo alivyo mpenzi wangu 2 miongoni mwa wanaume vijana. 1 Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu, 2 na tunda lake ni tamu kwangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 16:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 16:30Kutoka 16Kutoka 16:32 →