bible.software › Exodus › Exodus 18 › Exodus 18:6
Exodus 18:6
Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake Mose, kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto Moses, I thy father in law Jethro am come unto thee, and thy wife, and her two sons with her.
In Context
5Yethro, baba mkwe wa Mose, pamoja na wana wawili wa Mose na mkewe, wakamjia Mose huko jangwani, mahali alipokuwa amepiga kambi karibu na mlima wa Mungu.
7Kwa hiyo Mose akatoka kumlaki baba mkwe wake, akainama na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Read all of Exodus 18
Cross References
Exodus 4:20Basi Mose akamchukua mkewe na wanawe, akawapandisha juu ya punda na kuanza safari kurudi Misri. Naye akaichukua ile fimbo ya Mungu mkononi mwake.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 18:6