Kutoka 19:20
Bwana akashuka juu ya Mlima Sinai na akamwita Mose apande juu mlimani. Kwa hiyo Mose akapanda juu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 19:11na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, Bwana atashuka juu ya mlima Sinai machoni pa watu wote.
Exodus 24:15Mose alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima,
Exodus 34:2Uwe tayari asubuhi, kisha upande juu ya Mlima Sinai. Uje mbele zangu kukutana nami huko juu ya mlima.
Deuteronomy 9:9Nilipopanda mlimani kupokea mbao za mawe, mbao za Agano lile Bwana alilofanya nanyi, nilikaa mlimani siku arobaini usiku na mchana, sikula mkate wala sikunywa maji.
Psalms 81:7Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa, 2 nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo; 2 nilikujaribu katika maji ya Meriba. 1