Exodus 2:4
Dada ya huyo mtoto akasimama mbali ili kuona kitakachompata mtoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his sister stood afar off, to wit what would be done to him.
In Context
Cross References
Exodus 15:20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Numbers 20:1Katika mwezi wa kwanza jumuiya yote ya Kiisraeli ilifika kwenye Jangwa la Sini, nao wakakaa Kadeshi. Miriamu akafa huko na kuzikwa.
Micah 6:4Nimewatoa kutoka Misri na kuwakomboa 2 kutoka nchi ya utumwa. 1 Nilimtuma Mose awaongoze, 2 pia Aroni na Miriamu. 1