Exodus 2:8
Binti Farao akamjibu, “Ndiyo, nenda.” Yule msichana akaenda akamleta mama wa mtoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Pharaoh’s daughter said to her, Go. And the maid went and called the child’s mother.
In Context
Cross References
Psalms 27:10Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, 2 Bwana atanipokea. 1
Ezekiel 16:8“ ‘Baadaye nikapita karibu nawe, nilipokutazama na kukuona kuwa umefikia umri wa kupendwa, nililitandaza vazi langu juu yako na kuufunika uchi wako. Nikakuapia na kuingia kwenye Agano na wewe, asema Bwana Mwenyezi, nawe ukawa wangu.