Exodus 21:22
“Ikiwa watu wawili wanapigana na wakamuumiza mwanamke mjamzito, naye akazaa kabla ya wakati lakini hakuna majeraha makubwa, mhalifu atatozwa mali kiasi cha madai ya mume wa yule mwanamke, na jinsi mahakama itakavyoamua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
Cross References
Exodus 21:30Lakini ikiwa malipo yatatakiwa kwake, basi anaweza kulipa kinachodaiwa ili kuukomboa uhai wake.
Deuteronomy 22:18nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu.