bible.software › Exodus › Exodus 21 › Exodus 21:3
Exodus 21:3
Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If he came in by himself, he shall go out by himself: if he were married, then his wife shall go out with him.
In Context
2“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa chochote.
4Kama bwana wake alimpatia mke naye akamzalia wana au binti, mwanamke pamoja na watoto wake watakuwa mali ya bwana wake na huyo mwanaume ataondoka peke yake.
Read all of Exodus 21
Cross References
Deuteronomy 15:12Kama Mwebrania mwenzako, mwanaume au mwanamke, akijiuza kwako na kukutumikia miaka sita, katika mwaka wa saba ni lazima umwache aende zake akiwa huru.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 21:3