The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 21 › Exodus 21:33

Exodus 21:33

“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ngʼombe au punda akatumbukia ndani yake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And if a man shall open a pit, or if a man shall dig a pit, and not cover it, and an ox or an ass fall therein;

In Context

32Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini + 21:32 Shekeli 30 ni sawa na gramu 300. za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.

34mwenye shimo ni lazima alipe hasara iliyotokea; ni lazima amlipe mwenye mnyama. Mnyama aliyekufa atakuwa wake.

Read all of Exodus 21

Cross References

Psalms 9:15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, 2 miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 1

Proverbs 28:10Yeye ambaye humwongoza mwenye haki kwenye mapito mabaya, 2 ataanguka kwenye mtego wake mwenyewe, 2 bali wasio na lawama watapokea urithi mwema. 1

Jeremiah 18:20Je, mema yalipwe kwa mabaya? 2 Lakini wao wamenichimbia shimo. 1 Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako 2 na kunena mema kwa ajili yao, 2 ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 21:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 21:32Exodus 21Exodus 21:34 →