Exodus 23:5
Ukiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.
6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao.
Cross References
Deuteronomy 22:4Kama ukimwona punda wa nduguyo au ngʼombe wake ameanguka barabarani, usipuuze jambo hilo. Msaidie asimame kwa miguu yake.