Kutoka 23:8
“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
1 Samuel 8:3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Psalms 26:10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, 2 ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. 1
Proverbs 17:8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1
Proverbs 19:4Mali huleta marafiki wengi, 2 bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 1
Isaiah 1:13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1