Exodus 24:13
Basi Mose akaondoka na Yoshua mtumishi wake, naye Mose akapanda juu kwenye mlima wa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses rose up, and his minister Joshua: and Moses went up into the mount of God.
In Context
Cross References
Exodus 17:9Mose akamwambia Yoshua, “Chagua baadhi ya watu wetu na uende kupigana na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilima nikiwa na fimbo ya Mungu mkononi mwangu.”
Exodus 32:17Yoshua aliposikia sauti za watu wakipiga kelele, akamwambia Mose, “Kuna sauti ya vita kambini.”
Numbers 11:28Yoshua mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akajibu akasema, “Mose bwana wangu, wanyamazishe!”
1 Chronicles 7:27Elishama akamzaa Nuni, 2 Nuni akamzaa Yoshua.