Kutoka 25:15
Hiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The staves shall be in the rings of the ark: they shall not be taken from it.
In Context
14Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
16Kisha weka ndani ya hilo Sanduku ule Ushuhuda nitakaokupa.
Cross References
1 Kings 8:8Mipiko hiyo ilikuwa mirefu sana kiasi kwamba ncha zake zilionekana kutoka Mahali Patakatifu mbele ya Patakatifu pa Patakatifu, lakini sio nje ya Mahali Patakatifu. Hiyo mipiko ipo hata leo.