Exodus 25:39
Utatumia talanta moja + 25:39 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of a talent of pure gold shall he make it, with all these vessels.
In Context
38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.
40Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.