The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 25 › Kutoka 25:7

Kutoka 25:7

na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Onyx stones, and stones to be set in the ephod, and in the breastplate.

In Context

6mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;

8“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao.

Read all of Kutoka 25

Cross References

Exodus 28:4Haya ndiyo mavazi watakayoshona: kifuko cha kifuani, kisibau, kanzu, joho lililorembwa, kilemba na mshipi. Mavazi haya yatashonwa kwa ajili ya ndugu yako Aroni na wanawe ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani.

Exodus 28:9“Chukua vito viwili vya shohamu, na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 25:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 25:6Kutoka 25Kutoka 25:8 →