bible.software › Kutoka › Kutoka 26 › Kutoka 26:12
Kutoka 26:12
Kuhusu kile kipande cha ziada cha pazia la Hema, nusu ya hilo pazia lililobaki litaningʼinizwa upande wa nyuma wa Hema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the remnant that remaineth of the curtains of the tent, the half curtain that remaineth, shall hang over the backside of the tabernacle.
In Context
11Kisha tengeneza vifungo hamsini vya shaba, uviingize katika vile vitanzi ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
13Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaningʼinia pande zote za Hema ili kuifunika.
Read all of Kutoka 26
Cross References
Exodus 26:7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 26:12