The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 26 › Kutoka 26:2

Kutoka 26:2

Mapazia yote yatatoshana kwa ukubwa: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, + 26:2 Dhiraa 28 ni sawa na mita 13. na upana wa dhiraa nne + 26:2 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The length of one curtain shall be eight and twenty cubits, and the breadth of one curtain four cubits: and every one of the curtains shall have one measure.

In Context

1“Tengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi atatarizi makerubi kwenye mapazia hayo.

3Unganisha mapazia matano pamoja; fanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.

Read all of Kutoka 26

Cross References

Exodus 26:7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

2 Samuel 7:2akamwambia nabii Nathani, “Mimi hapa, ninaishi katika jumba la kifalme la mierezi, wakati Sanduku la Mungu limebaki katika hema.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 26:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 26:1Kutoka 26Kutoka 26:3 →