Exodus 27:6
Tengeneza mipiko ya mti wa mshita kwa ajili ya madhabahu, na uifunike kwa shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt make staves for the altar, staves of shittim wood, and overlay them with brass.
In Context
5Weka wavu huo chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
7Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe pande mbili za madhabahu inapobebwa.
Cross References
Exodus 30:4Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, ziwe mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko itumikayo kuibebea madhabahu.
Numbers 4:44waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.