Exodus 28:19
safu ya tatu itakuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the third row a ligure, an agate, and an amethyst.
In Context
18katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
20na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Cross References
Exodus 39:12safu ya tatu ilikuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;