bible.software › Kutoka › Kutoka 28 › Kutoka 28:24
Kutoka 28:24
Funga ile mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete zilizo katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt put the two wreathen chains of gold in the two rings which are on the ends of the breastplate.
In Context
23Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili yake, uzifungie kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
25nazo zile ncha nyingine za mkufu zifunge kwenye vile vijalizo viwili, na uzishikamanishe na vile vipande vya mabega vya kile kisibau upande wa mbele.
Read all of Kutoka 28
Cross References
1 Kings 7:17Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 28:24