Kutoka 28:36
“Tengeneza bamba la dhahabu safi na uchore juu yake maneno haya kama vile muhuri huchorwa: Mtakatifu kwa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Lifunge hilo bamba kwa kamba ya buluu kwenye kilemba, nalo ni lazima liwe mbele ya kilemba.
Cross References
Exodus 28:9“Chukua vito viwili vya shohamu, na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli
Exodus 39:27Pia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Leviticus 8:9Kisha akamvika Aroni kilemba kichwani pake, akaweka lile bamba la dhahabu, yaani ile taji takatifu, upande wa mbele wa kilemba, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Leviticus 19:2“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Bwana Mungu wenu, ni mtakatifu.
Psalms 93:5Ee Bwana, sheria zako ni imara; 2 utakatifu umepamba nyumba yako 2 pasipo mwisho.
Zechariah 14:20Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: Takatifu kwa Bwana, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya Bwana vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.