Exodus 28:5
Waambie watumie dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani safi. 1 Kisibau
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they shall take gold, and blue, and purple, and scarlet, and fine linen.
In Context
Cross References
Exodus 39:1Kutokana na nyuzi za rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu akatengeneza mavazi yaliyofumwa kwa ajili ya kuhudumu katika mahali patakatifu. Pia akamshonea Aroni mavazi matakatifu, kama Bwana alivyomwagiza Mose. 1 Kisibau