bible.software › Exodus › Exodus 28 › Exodus 28:7
Exodus 28:7
Kitakuwa na vipande viwili vya mabegani vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kufungia kisibau.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It shall have the two shoulderpieces thereof joined at the two edges thereof; and so it shall be joined together.
In Context
6“Tengeneza kisibau cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa, kazi ya fundi stadi.
8Mshipi wa kiunoni uliofumwa kwa ustadi utafanana nacho: utakuwa kitu kimoja na hicho kisibau, nao utengenezwe kwa dhahabu na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na kwa kitani iliyosokotwa vizuri.
Read all of Exodus 28
This Verse In Other Editions
Study Exodus 28:7