Kutoka 29:26
Baada ya kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kuwekwa wakfu kwa Aroni, kiinue mbele za Bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 7:34Kutoka kwenye sadaka za amani za Waisraeli, mimi Mungu nimepokea kidari kile kilichoinuliwa pamoja na lile paja lililotolewa, nami nimevitoa kwa kuhani Aroni na wanawe kuwa fungu lao la kawaida kutoka kwa Waisraeli.’ ”
Psalms 99:6Mose na Aroni walikuwa miongoni mwa makuhani wake, 2 Samweli alikuwa miongoni mwa walioliitia jina lake; 1 walimwita Bwana, 2 naye aliwajibu. 1