The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 33 › Kutoka 33:15

Kutoka 33:15

Kisha Mose akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said unto him, If thy presence go not with me, carry us not up hence.

In Context

14Bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”

16Mtu yeyote atajuaje kuwa mimi pamoja na watu wako tumepata kibali mbele zako, usipokwenda pamoja nasi? Ni nini kingine kitakachoweza kututofautisha mimi na watu wako miongoni mwa watu wengine wote walio katika uso wa dunia?”

Read all of Kutoka 33

Cross References

Exodus 33:3Pandeni mwende katika nchi itiririkayo maziwa na asali. Lakini mimi sitakwenda pamoja nanyi, kwa sababu ninyi ni watu wenye shingo ngumu, nisije nikawaangamiza njiani.”

2 Kings 6:3Kisha mmoja wao akasema, “Je, tafadhali, huwezi kufuatana na watumishi wako?” Elisha akajibu, “Nitakuja.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 33:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 33:14Kutoka 33Kutoka 33:16 →