Kutoka 33:18
Kisha Mose akasema, “Basi nionyeshe utukufu wako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, I beseech thee, shew me thy glory.
In Context
Cross References
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
John 1:18Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote, ila ni Mungu Mwana pekee, aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye amemdhihirisha. 1 Ushuhuda Wa Yohana Mbatizaji (Mathayo 3:1-12; Marko 1:1-8; Luka 3:1-18)
2 Corinthians 4:6Kwa kuwa Mungu, yeye aliyesema, “Nuru na ingʼae gizani,” ameifanya nuru yake ingʼae mioyoni mwetu ili kutupatia nuru ya maarifa ya utukufu wa Mungu katika uso wa Kristo.
Titus 2:13huku tukilitazamia tumaini lenye baraka na ufunuo wa utukufu wa Mungu wetu Mkuu, aliye Mwokozi wetu Yesu Kristo.